![HABARIMPYA TV](/img/default-banner.jpg)
- 594
- 10 456 523
HABARIMPYA TV
Tanzania
Приєднався 24 бер 2017
HabariMpya zote zinapatikana hapa.
Chombo cha Habari kwa wote
Chombo cha Habari kwa wote
LEO WAZIRI AWESO AMNASA MTUMISHI MUONGO "Naomba Unisamehe Mkuu, Usinitumbue Nimekosea Sana" 🙏🙏
LEO WAZIRI AWESO AMNASA MTUMISHI MUONGO "Naomba Unisamehe Mkuu, Usinitumbue Nimekosea Sana" 🙏🙏
Переглядів: 589
Відео
Eliza Aingia kweye 18 za Waziri Aweso "SEMA UNATAKA KAZI au HUTAKI,.? ATUMBULIWA MCHANA KWEUPEE,.🙌🙌
Переглядів 865День тому
Eliza Aingia kweye 18 za Waziri Aweso "SEMA UNATAKA KAZI au HUTAKI,.? ATUMBULIWA MCHANA KWEUPEE,.🙌🙌
KIMEUMANA: Hellen Apigiwa Simu ya Moto na Waziri Aweso, AMFYATUA MBELE ya HADHARA "Huu ni Uzembe"
Переглядів 786День тому
KIMEUMANA: Hellen Apigiwa Simu ya Moto na Waziri Aweso, AMFYATUA MBELE ya HADHARA "Huu ni Uzembe"
NAIBU WAZIRI: WAKUU wa MIKOA WENGINE MUIGENI MAKONDA,.
Переглядів 6 тис.День тому
NAIBU WAZIRI: WAKUU wa MIKOA WENGINE MUIGENI MAKONDA,.
PETER MSIGWA AHAMIA CCM, RAIS SAMIA AMUIMBIA WIMBO "Mlete Msigwa Mlete Msigwa"
Переглядів 43 тис.День тому
PETER MSIGWA AHAMIA CCM, RAIS SAMIA AMUIMBIA WIMBO "Mlete Msigwa Mlete Msigwa"
MPINA AMKAANGA VIBAYA SANA SPIKA TULIA, "Kwanini Alikaa Kimya Wakati wa Mkataba wa Bandari,.?
Переглядів 14 тис.День тому
MPINA AMKAANGA VIBAYA SANA SPIKA TULIA, "Kwanini Alikaa Kimya Wakati wa Mkataba wa Bandari,.?
MPINA JESHI La MTU MMOJA APANGUA ADHABU ALIYOPEWA na BUNGE "Haki ni Lazima Itendeke",......
Переглядів 3,6 тис.День тому
MPINA JESHI La MTU MMOJA APANGUA ADHABU ALIYOPEWA na BUNGE "Haki ni Lazima Itendeke",......
MBOWE AFUNGUKA MAZITO SAKATA LA UTEKAJI wa "SATIVA", AMTAJA HAYATI MAGUFULI LIVE,.......
Переглядів 4,9 тис.День тому
MBOWE AFUNGUKA MAZITO SAKATA LA UTEKAJI wa "SATIVA", AMTAJA HAYATI MAGUFULI LIVE,.......
ITAKULIZA: "Mwili wa Mwanangu Unaoza na Kuvunjika Vipande Vipande" MAKONDA NISAIDIE BABA,. 😔😔
Переглядів 3,9 тис.День тому
ITAKULIZA: "Mwili wa Mwanangu Unaoza na Kuvunjika Vipande Vipande" MAKONDA NISAIDIE BABA,. 😔😔
MAKONDA ABADIRI GIA ANGANI SASA ANATUMIA MAASKOFU, HUDUMA ya MATIBABU ya BURE ARUSHA,.🙌🙌
Переглядів 12 тис.День тому
MAKONDA ABADIRI GIA ANGANI SASA ANATUMIA MAASKOFU, HUDUMA ya MATIBABU ya BURE ARUSHA,.🙌🙌
MAKONDA: Watoto 10 Watashushwa KORODANI na PESA ITATOKA OFISI ya MKUU wa MKOA,.
Переглядів 4,1 тис.День тому
MAKONDA: Watoto 10 Watashushwa KORODANI na PESA ITATOKA OFISI ya MKUU wa MKOA,.
PROF. JANABI: POMBE INAHARIBU MOYO na UBONGO
Переглядів 922День тому
PROF. JANABI: POMBE INAHARIBU MOYO na UBONGO
PROF JANABI AMSANUA MAKONDA KUHUSU HUDUMA YA KUSHUSHA KORODANI,.
Переглядів 20 тис.День тому
PROF JANABI AMSANUA MAKONDA KUHUSU HUDUMA YA KUSHUSHA KORODANI,.
RAIS SAMIA AMPA MAKONDA DAWA za MILIONI 100, ARUSHA WATU WOTE WANATIBIWA BURE, BILA KULIPA HATA MIA.
Переглядів 6 тис.День тому
RAIS SAMIA AMPA MAKONDA DAWA za MILIONI 100, ARUSHA WATU WOTE WANATIBIWA BURE, BILA KULIPA HATA MIA.
MAKONDA ATUMIA HELICOPTER KAMA ya JESHI KUMBEBA MGONJWA ALIYEZIDIWA GHAFLA UWANJANI,.🙌🙌
Переглядів 8 тис.День тому
MAKONDA ATUMIA HELICOPTER KAMA ya JESHI KUMBEBA MGONJWA ALIYEZIDIWA GHAFLA UWANJANI,.🙌🙌
MPINA HAJITAMBUI, ACHUNGUZWE AFYA ya AKILI,. MSUKUMA AMKAANGA VIBAYA SANA LIHAGA MPINA, MOTO UNAWAKA
Переглядів 1,6 тис.День тому
MPINA HAJITAMBUI, ACHUNGUZWE AFYA ya AKILI,. MSUKUMA AMKAANGA VIBAYA SANA LIHAGA MPINA, MOTO UNAWAKA
MAKONDA AONGEA na RAIS SAMIA LIVE, SHANGWE LAIBUKA, ATANGAZA MATIBABU ya BURE kwa WANANCHI wa ARUSHA
Переглядів 42 тис.День тому
MAKONDA AONGEA na RAIS SAMIA LIVE, SHANGWE LAIBUKA, ATANGAZA MATIBABU ya BURE kwa WANANCHI wa ARUSHA
NIMEKUJA KUPATA MSAADA wa KISHERIA,. MTOTO WANGU wa MIAKA 6 AMELAWITIWA na JIRANI YANGU,.
Переглядів 370День тому
NIMEKUJA KUPATA MSAADA wa KISHERIA,. MTOTO WANGU wa MIAKA 6 AMELAWITIWA na JIRANI YANGU,.
MAKONDA ATANGAZA MATIBABU ya BURE kwa WANANCHI WOTE wa ARUSHA, ni NOMAAAAA 🙌🙌
Переглядів 4,7 тис.День тому
MAKONDA ATANGAZA MATIBABU ya BURE kwa WANANCHI WOTE wa ARUSHA, ni NOMAAAAA 🙌🙌
FITINA ZIMEANZA ARUSHA, WAMCHONGEA MAKONDA KWA N/WAZIRI MKUU ili ATUMBULIWE,.
Переглядів 18 тис.2 дні тому
FITINA ZIMEANZA ARUSHA, WAMCHONGEA MAKONDA KWA N/WAZIRI MKUU ili ATUMBULIWE,.
WADAKWA WAKIWA na VIUNGO VYA MTOTO ALBINO WAKITAFUTA MTEJA, PAROKO na BABA MZAZI WAHUSIKA,.
Переглядів 2,9 тис.2 дні тому
WADAKWA WAKIWA na VIUNGO VYA MTOTO ALBINO WAKITAFUTA MTEJA, PAROKO na BABA MZAZI WAHUSIKA,.
WAKILI MWABUKUSU "Tuhuma za Ufisadi Alizotoa Mbunge Luhaga Mpina Sizipuuzwe" SPIKA wa BUNGE AMEKOSEA
Переглядів 1 тис.2 дні тому
WAKILI MWABUKUSU "Tuhuma za Ufisadi Alizotoa Mbunge Luhaga Mpina Sizipuuzwe" SPIKA wa BUNGE AMEKOSEA
MAKONDA ALITEKA JIJI LA ARUSHA, SOON ANAKUJA na MASHINDANO ya KUENDESHA PIKIPIKI KAMA ULAYA,.🙌🙌
Переглядів 2,2 тис.14 днів тому
MAKONDA ALITEKA JIJI LA ARUSHA, SOON ANAKUJA na MASHINDANO ya KUENDESHA PIKIPIKI KAMA ULAYA,.🙌🙌
MAKONDA AWAJIBU WANAOSEMA ANATUMIA HELA ya SERIKALI KUKODISHA MAGARI KWEYE ZIARA ZAKE,.
Переглядів 10 тис.14 днів тому
MAKONDA AWAJIBU WANAOSEMA ANATUMIA HELA ya SERIKALI KUKODISHA MAGARI KWEYE ZIARA ZAKE,.
MAUJI ya MTOTO ALBINO YAMLIZA RAIS SAMIA, INASIKITISHA SANA,.😭😭
Переглядів 5 тис.14 днів тому
MAUJI ya MTOTO ALBINO YAMLIZA RAIS SAMIA, INASIKITISHA SANA,.😭😭
TUNDU LISUU AUNGANA na MPINA "Waziri Bashe Akamatwe kwa Uhujumu Uchumu" KUNA UFISADI,.....!!
Переглядів 6 тис.14 днів тому
TUNDU LISUU AUNGANA na MPINA "Waziri Bashe Akamatwe kwa Uhujumu Uchumu" KUNA UFISADI,.....!!
KIMEUMANA: SAKATA LA WAZIRI BASHE na MPINA KUHUSU UHUJUMU UCHUMI LACHUKUA SURA MPYA,.
Переглядів 1,4 тис.14 днів тому
KIMEUMANA: SAKATA LA WAZIRI BASHE na MPINA KUHUSU UHUJUMU UCHUMI LACHUKUA SURA MPYA,.
MASHOGA, MALAYA na WASAGAJI, WADAKWA WAKIJIUZA UBUNGO, BIASHARA ya UKAHABA YAGEUKA AJIRA kwa VIJANA,
Переглядів 8 тис.14 днів тому
MASHOGA, MALAYA na WASAGAJI, WADAKWA WAKIJIUZA UBUNGO, BIASHARA ya UKAHABA YAGEUKA AJIRA kwa VIJANA,
MPINA AMKAANGA VIBAYA SANA WAZIRI BASHE, ATUMIA RIPOTI ya CAG na HOTUBA ya MAGUFULI, AWEKA USHAHIDI.
Переглядів 23 тис.14 днів тому
MPINA AMKAANGA VIBAYA SANA WAZIRI BASHE, ATUMIA RIPOTI ya CAG na HOTUBA ya MAGUFULI, AWEKA USHAHIDI.
MAKONDA YUPO ARUSHA kwa SABABU MAALUMU, RAIS SAMIA ANAJUA KUPANGA KIKOSI CHAKE,. -PROF KITILA
Переглядів 7 тис.14 днів тому
MAKONDA YUPO ARUSHA kwa SABABU MAALUMU, RAIS SAMIA ANAJUA KUPANGA KIKOSI CHAKE,. -PROF KITILA
Sasa siumsikilize..
Hii serkalin ya ovyo sna kuna vijana wengi sna wenye sifa mtaaani alfu hao mbulula wanachezea kaz ingekuwa hivi mtu aki zingua piga chini hakuna kumuamisha wala kumsimamisha kaz unapiga chini hili hawa wengi na wenyewe wapate kaz hapo kila mtu angejituma sasa hii mala kumpa onyo
Mheshimiwa Aweso tusaidie kitu kimoja hasa katika ulipaji wa bill za maji kunautofaiti gani unit moja ya maji Kagera katika malipo na mikoa mingine, Kagara unit moja ni shs 2200/= na sehemu nyingine ni shs ngapi?
Wavivu, wazembe waongo na wajeuri katka kujibu wateja hao wasipewe msamaha hao ndio chanzo Cha matatizo kwa wananchi
weka ndan hao
Hahahhahahahahaha
kaka tunakoembea uwendelee kuwa mfano wakuigwa kwaviongozi wengine mungu akutangulie kaka
kaka wengi tunakuombea uen
Mashaallah.mungu.amkuze.vyema.na.maadili.mema
Mashaallah.mungu.amkuze.vyema.na.maadili.mema
Timua wote wanaoshindwa kufanya kazi ipasavyo.
Mungu azidi kukuongoza Baba yetu uzidi kutetea wanyonge
Mungu azidi kukuongoza Baba yetu uzidi kutetea wanyonge
Kiukweli ni kiongozi wa kuigwa sana ni mchapa kazi na anajua majukumu yake
Mpina wewe Tanzania imekuamini.kwann ushindane kama uko sawa wakusemee wengine ila saizi upendo.haupo nyie.shetani kishaivamia.dunia.yaan wabunge hawapendani.da
Watanzania tuna uwezo wa kufanya mambo makubwa sana ikiwa kila mmoja atawajibika katika nafasi yake. Mh P. Makonda, Madaktari na Madaktari bingwa wote, Mh Rais Samia, Serikali na kila aliyehusika na zoezi hili, pokeeni shukurani za dhati toka kwa Watanzania wote na Mungu awazidishie moyo wa unyenyekevu katika kulitumikia taifa!
Mpina wewe Wafaa kuwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania uwezo huo unao na Uongozi unauweza. Hakika Mungu akusimamie Tanzania ikipata wabunge 100 tu wenye nia thabiti kama wewe Nchi yetu itapona kwa yanayoendelea na tuyaonayo kiukweli yanaumiza mioyo yetu kama watanzania.Endelea kututetea.
Mh.Mpina 🤝👏💪🏽🙏🏼 Piga kazi Mpina stand for the truth you mast stand alone 👍
Duuu!! Yaan aliewekwa pale ktk bunge hakufaa kua pale kuongoza bunge ,aliwekwa tu ilimradi
Hizi sifa jaman
So sad that ministers can do this to public officials
Inchi itasimama,umakini unahitajika, Mpina ana sifa ya SHUJAA
Inchi itasimama,umakini unahitajika, Mpina ana sifa ya SHUJAA
Nimeanza kukupenda ndogo wangu nakutegemea sana shule uliopata utaitendea haki tz
Uyu jamaa awe tu rais wetu
Wape nafasi na wengine hapo nyuma waongee au ni mabodigadi
Hongera kiongozi tumechoka kuonewa
Makonda Sasa inatakiwa Makonda wawe wengi kila Kona ya nch Makonda mmoja anachoka na kuwafikia watu ni wengi na iwe. Kwa idara zote Kama Makonda
Unaeleweka sana sana.
Nasimama na Mpina
Kiuhalisia ni ubunifu mzuri sana wa RC. Lakini, tujiulize kwanini watu wanajaa kwenye kambitiba hivi? Ni kwasababu wengi wao huenda walishindwa kulipia gharama za matibabu hayo kwenye utaratibu wa kawaida wa tiba kwani wengi hawana hizo bima, au vifurushi vya bima hazikavi baadhi ya garama za matibabu na vipimo vyao. Inamaana watakuwa wanasubiria hizo kambi ili kupata matibabu ya Bure au ya bei nafuu ambayo serikali inagarimikia kuleta vifaa na madaktari? Na je, hawa madaktari huku kwenye vituo vyao vya kazi inakuwaje? Nashauri utaratibu wa bima uwekwe Sawa, ili kuondoa uhitaji wa makambi ya tiba na watu waendelee kutibiwa hospitali kama kawaida?
Sasa huo ndio ushuhuda wa ukweli na sio ule ww mchongo wa manabii wa uwongo
🎉🎉. 🎉🎉🎉🎉🎉
Kaka hukweli siku zote humuwekatubwazi wape maneno
Kiongozi Fanya ziara huku Kibaha Kongowe eneo la Humwa tumechangishwa pesa za kuunganishuwa maji tangu mwaka wa jana mpaka Leo hamna kitu Kila kaya tulichangishwa 68000
Huyu ni rais jmn mwakan ,,
Mnatengeneza matatizo halafu mnayatatua 😀😀😀😀
Kwa style hii Chadema watasubiri sana labda Makonda atakapoondolewa
Mfano wa Rc Makonda ni mfano wa kuigwa mama muone huyu
Mungu anamwona Mungu akuinuwe Makonda angesambazwa Mikoa yote wakuu wa mikoa wengine waige, Makonda ana Yesu bila Yesu hakuna kutoboa
Dada mshukuru Mungu hao wametumiwa na Mungu
Hongera mkuu wa mkoamakonda
🙏🙏🙏
Wote wangekuwa kama paul makonda nchi ingekuwa sehemu nzuri ya kuishi
❤😢🙏🙏🙏✌👁😍💔🍀✌✌🙏🙏😢🍀🍀👁👑😍✌✌✌🙏🙏🙏🍀🍀
😢
Wapigaji wamenona kama nguruwe !!!!
Udhalim,utekaji unyangaji nauonevu nizao laserikali dhalim
Nyoka katumwa na nyoka mtoto wa nyoka ni nyoka tuu wananchi wenzangu wa ngorongoro mungu ndo mtetezi wetu wameamua ila mungu ni zaidi ya wote
Piga KAZI mzeee
❤❤❤
Wizi umefichwa bashe jiuzulu